Contents
Sambusa Lyrics – Addi Chokoch, Dmore, ExRay, Maddox, Nelly
Hitman ting Hitman ting
Badman ting Badman ting
Hitman ting
Man a badman ting
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kamisa unakatia poko
Ukipakishwa nakupiga koto, ama
Yes Kidole Sambusa
Yes kidole sambusa,
Ama Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Ni mabum kubwa zinabambuka
Ni mabum kubwa zinabambuka
Na ukilia machozi panguza
Na ukilia machozi panguza
Sambusa Lyrics Verse One
Addi chokoch rada gani
Dada kamata sister kata
Tunachuna fudhi kutumia nailcutter
Dada kamata sister kata
Makejani tukiskizia Dj Kata
Kamehenyea nyap kijijini
Wakomi wasomi hadi majini
Mashoshe mafiat wako dukanii
D kingpin, toka southee
Kunanyesha damu mabadini
Magaldem wako juu mitini
Maboy dem wako chini interkwakaring
Aiii, ni maring’ ding’
Chorus
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kamisa unakatia poko
Ukipakishwa nakupiga koto, ama
Yes Kidole Sambusa
Yes kidole sambusa,
Ama Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Verse Two
Chura chura anataka tu kupigwa keshwa
Pura pura keeper anadai tu Vanessa
Kura kura anapiga tu bila chaser
Sura sura ana nerd jenge amemteka
Na kokoto kibongii
Mi nachota hadi body
Cheki vile kanasoka ana songi
Aaii, mi nateka tu Njokii
Nyap nyap eeh, nyap nyap woo
Tandika tandika tandika kinyam nyam
Nyap nyap eeh, nyap nyap woo
Tandika tandika tandika kinyam nyam
Raha ndani ya loho, ndani ya loho
Laha ndani ya loho, ndani ya loho
Laha ndani ya loho, ndani ya loho
Raha ndani ya loho, ndani ya loho
Chorus
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kamisa unakatia poko
Ukipakishwa nakupiga koto, ama
Yes Kidole Sambusa
Yes kidole sambusa,
Ama Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Sambusa Lyrics Verse Three
Afande weeh, apa kuna kurutu
Aaiii yaya na ana kutu
Apa weeh, ntakuria mutu
Dogo dogo, ntakuria muthutu
Ngeus wake happy ye huniita boo
Ka ana nyege sitaki masahibu
Ka ni mrs mi si mr ibu
Kaana hanjam twende taratibu
Ni mabum kubwa zinabambuka
Ni mabum kubwa zinabambuka
Na ukilia machozi panguza
Na ukilia machozi panguza
Chorus
Namdara kabisa ndio nimtoe joto
Ndani ya nissan na usitie roho
Hadi kamisa unakatia poko
Ukipakishwa nakupiga koto, ama
Yes Kidole Sambusa
Yes kidole sambusa,
ama Yes kidole sambusa
Yes kidole sambusa
Credit: Addi Chokoch, Dmore, ExRay, Maddox and Nellythegoon
SING ALSO TO: Soko Lyrics – Ethic Entertainment – New Song 2020