Home GENERAL Sawa Lyrics – Ibraah

Sawa Lyrics – Ibraah

by Louis
Published: Last Updated on
Sawa Lyrics

Sawa Lyrics by Ibraah – Download Mp3 Audio

Sawa Lyrics Verse One

Aaaaah
It’s Bonga
Oh nah nah nah nah nah aah

Asante Mungu Baba uliye mwema
Nimeiona siku nyingine ya furaha
Hali sio haba sio njema
Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha

Maana wazazi wananitegemea
Na ninakaribia mi kuitwa Baba
Nami ndunguzo waloegemea
Sina kitu nimechalala nimevaba

Uniepushe mabaya dunia
Yasijenikumba
Napiga goti kwa uchungu nalia
Ni nusuru muumba

Katu nisikate tamaa
Niende kusaka tonge
Nipate ama nishinde njaa
Moyoni upige konde, ni sawa eh!

Chorus

Ni sawa, ni sawa Nami nitafika
Ata nikikosa sawa
Ni sawa, ni sawa Na mimi utanipa
Ah ridhiki we ndo unayegawa

Sawa, ni sawa Nami nitafika
Wanadamu hawezi panga
Ni sawa, ni sawa Na mimi utanipa
Sitozuguka kwa waganga

Sawa Lyrics Verse Two

Natapa tapa elimu sina
Mi kusoma sijasoma
Nami nasaka nijenge heshima
Mi nakoma ju wananichoma

Ni wewe pekee ndo nayejua
Ah mbele yangu na nyuma yangu
Mie mpweke naomba dua
Ah Baba fungua ridhiki zangu

Nashukuru Baba, pumzi unayonipa
Maisha naendelea
Ila kingine Baba, nadhalilika
Huu mzigo unanielemea

Baba niwewe Baba Ni wewe
Niwe ndo msaada Ni wewe
Ni wewe, ni wewe
Baba ni wewe

Uniepushe mabaya dunia
Yasijenikumba
Napiga goti kwa uchungu nalia
Ni nusuru muumba

Katu sikate tamaa
Niende kusaka tonge
Nipate ama nishinde njaa
Moyoni upige konde

Chorus

Ni sawa, ni sawa Nami nitafika
Ata nikikosa sawa
Ni sawa, ni sawa Na mimi utanipa
Ah ridhiki we ndo unayegawa

Sawa, ni sawa Nami nitafika
Wanadamu hawezi panga
Ni sawa, ni sawa Na mimi utanipa
Sitozuguka kwa waganga

Sawa Lyrics by Ibraah

ALSO, SING TO – Huna Baya Lyrics – Billnass Ft Meja Kunta

Related Posts