Siogopi Lyrics – Paul Clement – Download Siogopi by Paul Clement
Siogopi kuchelewa
Sababu mungu wangu
Hachelewi wala hawai
Siogopi
Mateso yangu
Sababu yananipeleka
Kwenye ukuu wangu
Siogopi
Kudharauliwa
Maana ndiko kunako
Nipaa heshima yangu
Siogopi
Adui zangu
Maana najua
Ni adui wa mungu wangu
Siogopi
Hivi vita vyangu
Maana ndivyo vinavyo
Nipaa ushindi wangu
Siogopi Siogopi Siogopi Siogopi
Siogopi Siogopi Siogopi Siogopi
I am not afraid
I am not afraid
I’m not afraid
I’m not afraid
I am not afraid
I am not afraid
I’m not afraid
I’m not afraid
Nimepewa maamlaka
Siogopi nge na nyoka
Nitawakanyaga vichwa vyao
Hazitanidhuru sumu zao
Yaani maneno yao
Siogopi Kutembea kwenye giza
Maana mi ni nuru mi mwangaza
Siogopi kusimama kwenye mlima
Maana najua siwezi sitirika
Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Ili nisimame niwe imaara
Niwe kinaara
Siogopi moto moto sababu
Lazima nipite mimi dhahabu
Niwe hodari niwe jasiri
Niwe kamili
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Mungu yuko nami
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
Siogopi,
Ooh ooh ooh
I am not afraid
I am not afraid
I’m not afraid
I’m not afraid
I am not afraid
I am not afraid
I’m not afraid
I’m not afraid
Siogopi
Mungu uko na mimi
Mungu uko na mimi
Siogopi
Baba uko na mimi
Baba uko na mimi
Siogopi Lyrics Credit – Paul Clement
ALSO, SING TO – Watakuheshimu Lyrics – Aniset Butati Ft Bony Mwaitege – Official