Home GENERAL Superwoman Lyrics – Tanzanian Women All Stars – 2020

Superwoman Lyrics – Tanzanian Women All Stars – 2020

by Louis
Superwoman Lyrics

Superwoman Lyrics – Tanzanian Women All-Stars – Download audio mp3

(Ayolizer)

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

Mwanamke ni mama, mmmh
Mwalimu wa kwanza duniani
Tumboni alitubeba akatulea
Akatufundisha

Zile zamu za mwanamke hawezi, hapana
Siku hizi hakuna
Tunashiriki vyema wa nchi ujenzi
Na tena tunajituma

Hey hata kulima(Tunaweza)
Oooh kushona(Tunaweza)
Rubani unahodha(Tunaweza)
Nchi kuongoza(Tunaweza)
Ooh dakitari baba, askari dada(Tunaweza)

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

Ujasiri siri yetu, kujituma ndio sana
Umoja ndio nguvu yetu na kushikamana
Jitokeze kugombea nafasi mali mali
Pingamizi hakuna inahitaji utayari

Wewe unaweza, mimi ninaweza
Kwani wewe ushindwe una nini?
Na mimi niweze nina nini?

Mwanamke ngangari, mwanamke hodari
Anayejiamini baba alete chumvi
Yeye alete sukari
Mwanamke sio tu vipodozi
Na vipicha vya kichokozi
Siku hizi mwanaume anapenda mwanamke
Ajitume na achape kazi

Na sasa kunavyo vikundi vya kusaidia
Na vikoba vyetu ushindi tunakopesha
Mkubwa kwenye uongozi tumepata mtetezi’
Mama Samia hoyee

Wanawake uvuvi(Tunaweza)
Ualimu(Tunaweza)
Urubani unahodha(Tunaweza)
Nchi kuongoza(Tunaweza)
Udakitari baba, uasikari mama

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

I’m a superwoman, I’m a superwoman
Hee, superwoman(Super), superwoman(Super)
Superwoman

Yeah am a fine ting, yeah am so exciting
Husle for my own to keep up fighting
You know I can be queen and also be king
Super woman give me the championship ring

Nilianza changa changa kamtaji kangu chakanga
Nga nga
Biashara ya deni ikanipatia kiwanja
Sasa nina Shishi food, kifupi life is good
Na nina Mbezi kibanda

Haya kina dada wote msilale(Msilale)
Tena msilale(Msilale)
Msilale(Msilale)
Haya msilale(Msilale)
Amkeni muda sasa

Superwoman Lyrics Credit – Tanzanian Women All-Stars

ALSO, SING TO – Umefanana Nae Lyrics – Belle 9 – New Song 2020

Related Posts