Talk to me Lyrics – Kelechi Africana Ft Maua Sama – Download Mp3 Audio
Mamacita
Ziba sikio tulia vipawa
Usijenitikisa
Kwa hayo maneno kelele za nyau
Grammer mingi kwenye mitandao
Mabinti wamama unachat nao
Nikiwaza huna angalau eeya
Nisije nikakuona jau
Nitajifia na haka ka baridi
We baki humo humo
Usinikatae na roho yake gaidi
Kunjua roho
Hujatulia na roho yake gaidi
We baki huko huko
Nimeridhia na haka ka baridi
Nakunja roho
Talk to me, talk to me mama
Talk to me, talk to me mama
Eeeeeh
Nimebariki
Siwezi kushindana
Si kama nime panic
Chukuchuku hii nyama
Yaani hata ukinuna bado unanoga my love
Kama dawa bado nakupenda sana
Vuta tuanze moja moyo unauma
Nachechemea ndama
Lakini moyo unakataa
Chachu ndimu mambo ni zidisha
Haki mi kweli nimekwisha
Umenikamua nimebaki chicha
Njoo nikokote
I say njoo njoo niokote eeh
Njoo nikokote
I say njoo njoo niokote eeh
Hujatulia na roho yake gaidi
We baki huko huko
Nimeridhia na haka ka baridi
Nakunja roho
Nitajifia na haka ka baridi
We baki humo humo
Usinikatae na roho yake gaidi
Kunjua roho
Talk to me, talk to me mama
Talk to me, talk to me mama
Eeeeeh
Talk to me Lyrics Credit – Kelechi Africana Ft Maua Sama
ALSO, SING TO – Bambika Lyrics – Bahati Ft Ethic Entertainment – New Song 2020