Contents
Tanzania Ya Sasa Lyrics Zuchu.
Verse One
Ayolizer
We mama njoo
Njoo uone nchi ilivyobadilika
Tanzania ya leo oh
Imejengwa imejengeka
Vitaa uhungo tazara
Za juu barabara tayari zinatumika
Reli yenye fiwa govora
Standard Gauge karibu inakamilika
Tanzania ya sasa mama, aii mama
Ya Maghufuli mama, aii mama
Inawaka waka mama, aii mama
Inapendeza sana, aii mama
Tanzania ya sasa mama, aii mama
Ya CCM mama, aii mama
Inawaka waka mama, aii mama
Inapendeza sana
Nasema jua lile literemke mama
Jua lile literemke mama
Nasema wapinzani watetereke sana
Wapinzani watetereke sana
Jamani jua lile literemke mama
Jua lile literemke mama
Wabaki wapinzani watetereke sana
Wapinzani watetereke sana
Tanzania Ya Sasa Lyrics Verse Two
Wazee Watoto Wanawake hospitali bure
Bure magufuli huyoo
Elimu ya msingi pamoja na sekondari bure
Bure magufuli huyoo
Hee, CCM high, high
High high high high
Magufuli high, high
High high high high
Wapinzani wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Doctor Sheni high, high
High high high high
Mama Samia high, high
High high high high
Wapinzani wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Majaliwa high, high
High high, high high
Nabashiru high, high
High high, high high
Wapinzani wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Tanzania ya sasa mama, aii mama
Ya Maghufuli mama, aii mama
Inawaka waka mama, aii mama
Inapendeza sana, aii mama
Tanzania ya sasa mama, aii mama
Ya CCM mama, aii mama
Inawaka waka mama, aii mama
Inapendeza sana
Nasema jua lile literemke mama
Jua lile literemke mama
Nasema wapinzani watetereke sana
Wapinzani watetereke sana
Jamani jua lile literemke mama
Jua lile literemke mama
Wabaki wapinzani watetereke sana
Wapinzani watetereke sana
Verse Three
Mzee Mangula high, high
High high, high high
Paul pole high, high
High high, high high
Wabunge wote high, high
High high, high high
Kamati kuu high, high
High high, high high
Wajumbe wa nurse high, high
High high, high high
Wenye viti wa mitaa high
High high, high high
Wenye vituo vitongoji high, high
High high, high high
Mabalozi high, high
High high, high high
CCM high, high
High high, high high
Wanachama high, high
High high, high high
Wapinzani wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Wamekaa, kaa
Kaa, kaa kaa
Tanzania Ya Sasa Lyrics Zuchu – Download Mp3 audio