Contents
Tekenya Remix Lyrics – Lava Lava Ft Rayvanny
Tekenya Remix Lyrics Verse One
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya kamenigusa kunako (eeh kunako)
Kanitekenya kamenipofua macho (eeh macho)
Kanafanya makusudi kama hakataki pipi, (dori dori)
Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki, (torori rori)
Kanitekenya,
Kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi, Kanitekenya,
Moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi, Kanitekenya,
Shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji, Kanitekenya,
Akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji
Chorus
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Tekenya Remix Lyrics Verse Two
Vanny Boy
Nikikatekenya kanatekenyeka
Yaani ,,, kanacheka cheka
Kamenitekenya kanavyo tetemesha
Wami kitonga Sekenke na Sereleka
Tekenya,
Mikono juu ka ana mabawa, Tekenya,
Upepo sukuma ngalawa, Tekenya,
Ukizungusha mama napagawa, Tekenya
Hadi birika lamwaga kahawa
Uki kaaaaati ka kigugumizi
Maasai kanipa dawa nishatafuna mizizi
Wani kaaatisha kichizi chizi
Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi
Pinda mgongo ukunje mikono
Twende taratibu kama konono
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kama mbuzi kagoma kwenda
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kizombi nimetoka milenda kanitekenya
Chorus
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya
Teke tekenya, tekenya,
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Verse Three
Pinda mgongo Kishingo weka juu
Kunja na mikono kama kangaroo
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kama umejinyonga unaning’inia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Fanya waibuka unazamia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Paramia ukuta chungulia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Yaani nyatu nyatu
Na nyatia
Credit: Lava Lava and Rayvanny
SING TO: Aya Lyrics – Marioo – New Song January 2020