Contents
Ukiwa Mbali Lyrics – Sol Generation Ft Sauti Sol
Sol Generation
Merry Christmas
To the Nation
Verse One
Tulianza mwaka tukiwa wengi
Wengine hawakumaliza
Tukapanga nayo mipango mingi
Lakini chache zikatimizwa
Sasa sherehe kuchacha
Wengine kwa paa
Count your blessings
Vile inafaa
Ya mola ni mengi
Shetani hawezi pangua
Â
Salama kwako mama
Nairobi kuko sawa
Nilipatana na vijana
Tukaimba Extravaganza
Crystal akajulikana
Asante Maulana
Haki ningeweza mama
Nifungue macho nikuone
Chorus
Nikiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Krisimasi nile na wewe
Ukiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe
Ukiwa Mbali Lyrics Verse Two
Hakuwezi kuwa na sherehe bila wewe
Mpenzi harakisha usichelewe
Nilizaliwa december kama wewe
Njoo njoo nibembeleze
Moyoni ni mengi ninatarajianga
Na ukipita mbinguni na dunia
Ili niwe na wewe muda unawadia
Njoo nile rhumba na wewe
Timing imeharibiwa na kazi
Na sijui nitafanyaje
Nichome moja na wewe
Niko grinding
Na nimekushikia zawadi
Yaani sijui nitafikaje
Ningependa nikupe mwenyewe
Chorus
Nikiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Krisimasi nile na wewe
Ukiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe
Ukiwa Mbali Lyrics Verse Three
Ooooo oooo oooo ooo
Anywhere you are is home
Naomba krismasi nile na wewe
Ooooo oooo oooo ooo
Anywhere you are is home
Naomba krismasi nile na wewe
Chorus
Nikiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Krisimasi nile na wewe
Ukiwa mbali
Nakungoja natamani
Sijui nitafanyeje
Nifunge mwaka na wewe
ALSO, SING TO YESU ANA Lyrics – Wahu Ft Size 8 Reborn – New Song