Umefanana Nae Lyrics – Belle 9 – Audio mp3 download
Verse One
You remind machungu niliyopitia kwake
Miiba ya mapenzi sio mahala pake
Hizo vikuku na makope kama ye
Usinivideo call please I swear you look like her
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss mi maana sina mpango naye
Mwenzio alinikomesha
Aliponikoleza
Ghafla akanitonesha
Tokomeza singemove forever
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Sometimes
I don’t believe alikwenda
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Umefanana nae,
Sura mwendo dimples
Umefanana nae,
Sura mwendo unge
Umefanana nae,
Sura mwendo dimples
Umefanana nae,
Sura mwendo
Sifa zote umetimiza wanipendeza
Huko nyuma niliyempoteza sikumweza
Malipo ya kumbembeleza ilikuwa gereza
Vita mwana kumdekeza akanipoteza
Hmm siwezi kurudisha siku nyuma(Hapana)
Ndoto zetu nyingi zilizima(Mchana)
Atleast ingekuwa white ingekuwa white
Alisha niforce nimpost na nimtake
Uongo ukizidi mapenzi ukweli uwake
Alikubali walafi chini ya laki na walilala naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss maana mwisho haukuwa mzuri naye
I wish kama hungekuwa hujafanana naye
Sitaki kummiss mi maana sina mpango naye
Mwenzio alinikomesha
Aliponikoleza
Ghafla akanitonesha
Tokomeza singemove forever
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Sometimes
I don’t believe alikwenda
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Sometimes
I don’t believe nilimpenda
Umefanana nae,
Sura mwendo dimples
Umefanana nae,
Sura mwendo unge
Umefanana nae,
Sura mwendo dimples
Umefanana nae,
Sura mwendo
Siwezi kurudisha siku nyuma(Hapana)
Ndoto zetu nyingi zilizima(Mchana)
Umefanana Nae Lyrics Credit – Belle 9
ALSO, SING TO – DanHela Lyrics – AY – New Song 2020