Contents
Urao Lyrics – Wakali Wao – Download Mp3 Audio
Intro
Pigwa dudu rungu na fimbo ya farao
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Verse One
Dudu msee niko ju ya matembe
Kaveve aluta kakishika na mdenge
Mbebe konyagi kibao nimteke
Shikuku kuwake shikweke
Ngoko mimi ndio jogoo wewe ndio mwewe
Cheze kiwewe uwache umwere
Qwela Kiguta ukiinamia
Ju ju nakupanda ka ngamia juu
Du, du rungu we kalia
Apana chachisha kama mama wa ploti
Kwanza inama nyembe pongi sitoki
Chuma shindano twatibu kama doki
Chorus
Pigwa dudu rungu na fimbo ya farao
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Verse Two
Nasikia urao ju kwanza siko tao
Cheki niko ma area kwa meza ni mathao
Si unakijuwa nina na mangoko wanachekesha mathayo
Ukinyanya si kibonoko kan kan mara mbao
Niki shapiga chuom kwanza manze fom
Mi hu washa kindom kwanza ki-pure kibom
Cheki waria hane si unajua nabonga sana
Siwezi bonga vizuri labda nitake chuom
Uliza Imbo
Walisema hana ball
Aki leo nakushow
Si analia ako na ball
Mtu ka mi na glow
Kam wrong kula blow
Nikienda kuperform ni ma Igwe wakibow
Chorus
Pigwa dudu rungu na fimbo ya farao
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Verse Three
Dudu fisi sai mi ni simba
Kirimba kama caterpillar nawachimba
Do do ya jaba na jinka kilimba
Zikishika toa kutu ni tu kuririma
Walibonga wakisema nitachapa
Ona sai sherehe napiga tu za kipapa
Cheki tu kwa pori nimejipin makapa
Nyonyo yako jipa ju mi ni rapper
Chorus
Pigwa dudu rungu na fimbo ya farao
Wakuwe ni chura ama rangi ya Thao
Kakuwe na nyuma na sura ni nyang’au
Nazikemba nazibeba juu ka karao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Mangoko wabebwe basi sikia urao
Mangoko watekwe basi sikia urao
Kuwapea makali konyagi na kibao
Zikishika toa kutu rungu nimembao
Urao Lyrics Credit – Wakali Wao
ALSO, SING TO – Kamkoba Lyrics – Mbogi Genje Ft VDJ Jones – New Song 2020