Home GENERAL Utawezana Parody Lyrics – Dogo Charlie

Utawezana Parody Lyrics – Dogo Charlie

by Louis
Published: Last Updated on
Utawezana Parody Lyrics

Utawezana Parody Lyrics by Dogo Charlie – Download Mp3 Audio

Verse One

Dogo Charlie cheki vile nimeiva Wacha
Na vile mi hukuwa nimekubamba Aahhh
Avocado pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile uchafua ile verse ya January Ehh

Ilibidi manze sisi ni watamu So tasty
Blueband tena ile herbal ahhh
Story za herbal kwanza wekwa chumvi
Kwa githeri mi hukuwa nimekutamani

Ehh we Dogo anza kunikula wazi
Nishow ni lini ulinionja, ahh
Avocado ehh we hunisotesha
Kwa soko huko kwa mama mboga

Chorus

Dogo Charlie kunikula utawezana, Nitawezana
Na lockdown utawezana, Nitawezana
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Dogo Charlie kunikula utawezana, Nitawezana
Na lockdown utawezana, Nitawezana
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Verse Two

Iko ladha yako iko
Napenda kukula na kijiko ehehem
Dogo unaweza kunifinyaaa
Ukitaka kunikula kula faster

We ukijua vile nitakupasua, ahh
Mi nataka kukula mpaka nishindwe kutembea ahh
Haki Charlie nimeanza kuogopa
Na ukishiba usisahau kutangaza

Ah hiyo usijali, sawa, nitatangaza
Nitaambia watu sitaambia tu Landlord
Haina noma leo utanikula
Na mbegu ka ni ndogo sichoke kuntafuta, aahh

Chorus

Dogo Charlie kunikula utawezana, Nitawezana
Na lockdown utawezana, Nitawezana
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Dogo Charlie kunikula utawezana, Nitawezana
Na lockdown utawezana, Nitawezana
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Verse Three

Napenda kulwa na ugali mboga, ok
Nikicheki menu yako hapana
Avocado hii ni supu moto motoo
Ni supu tu lakini haina kakitu

Ah nataka kujipata kwa sahani
Ah nitakumeza kwani iko nini Ah
Basi anza kupakua hiyo stew
Ah sisiti nitakugawa into two

Ondoa mbegu, ok, toa ngozi, ahaa
Bora ushibe na unilambe mgongo
Ahh nakudai ju umetoka market
Na we ni Avocado AVOCADO DODO

Chorus

Dogo Charlie kunikula utawezana, Nitawezana
Na lockdown utawezana, Nitawezana
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Ahh ni Dogo Charlie
Mfalme wa Parody

Utawezana Parody Lyrics by Dogo Charlie

ALSO, SING TO – Pengting Lyrics – Timmy Tdat

You may also like