Vibaya Lyrics by Otile Brown – Download Mp3 Audio
Verse One
Inachohitaji moyo
Hata akili haiwezi baini
Cha mtima cha moyo
Hata kama kibaya
Ni kifaacho mtu chake
Kwako sisikii wala siambiliki
Nakupenda kipini sina
Kwako mi hoi chakari
Nalewa Henessy
Moyo wangu nao
Kwako ninatwaa kafanya makazi yeah yeah ooh
Nishapenda mapaka mjini
Wakanirubuni
Nusura wanitoe roho
Oooh upendo si kutamani yeah yeah ooh
Ila kaja toto la moto
Kanipoza kama uji wa mtoto
Haters tunawanyoosha vinyoosho
Ukaja toto la moto Moto
Kanipoza kama uji wa mtoto Mtoto
Insta tunawanyoosha vinyoosho
Chorus
Nakupenda vibaya Baya baaaya
Yaani vizuri vibaya Baya baaaya
Nakupenda vibaya Baya baaaya
Yaani vizuri vibaya Baya baaaya
Nampenda mpenda Nani?
Msichana mmoja Nani?
Na jina lake Nani?
Nampenda mpenda Nani?
Msichana mmoja Nani?
Na jina lake Nani?
Vicky pon dis
Verse Two
Mtoto ulivyosimama umenikaa
Ooh nakuwaza kila saa
Unavyobana unaachia, bana unaachia
Kisha slow it down ghafla unatia gear Mtoto mi hoi
Unavyobana unaachia, bana unaachia
Kisha slow it down ghafla unatia gear Mtoto mi hoi
Toto la moto
Kanipoza kama uji wa mtoto
Haters tunawanyoosha vinyoosho
Ukaja toto la moto Moto
Kanipoza kama uji wa mtoto Mtoto
Insta tunawanyoosha vinyoosho
Chorus
Nakupenda vibaya Baya baaaya
Yaani vizuri vibaya Baya baaaya
Nakupenda vibaya Baya baaaya
Yaani vizuri vibaya Baya baaaya
Nampenda mpenda Nani?
Msichana mmoja Nani?
Na jina lake Nani?
Nampenda mpenda Nani?
Msichana mmoja Nani?
Na jina lake Nani?
Vibaya Lyrics by Otile Brown
ALSO, SING TO – Roll With You Lyrics – Khaligraph Jones