Home GENERAL Wala Lyrics – B2K Mnyama

Wala Lyrics – B2K Mnyama

by Louis
Published: Last Updated on
Wala Lyrics

Wala Lyrics by B2K Mnyama – Download Mp3 Audio

Verse One

Zile route za nenda rudi uliona ka utani
Kumbe unafanya makusudi kuangalia pembeni
Zawadi zangu eti nigawe nitoe za kantani
Na zile hodi hodi za nini zinakutoa mudini

Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba

Chorus

Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni

Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni

Verse Two

Njoo nikuonyeshe na kazi yangu, nahisi utatulia
Uyachunguze maneno yangu maana utanielewa
Uniongeze furaha isiwe utani Aaah aaah
Pengine itageuka uwe wangu hunny Aaah aaah

Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba
Elewa sina tunza mia mia za kuuza karanga
Niwe mwashi nashindwa kukudanganya na bonge la nyumba

Chorus

Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni

Wala
najua hata hatuendani
Wala
nawakilisha moyoni

Wala Lyrics by B2K Mnyama

ALSO, SING TO – Bed Room Lyrics – Harmonize

Related Posts