Home GENERAL Wana Parody Lyrics – Dogo Charlie

Wana Parody Lyrics – Dogo Charlie

by Louis
Published: Last Updated on
Wana Parody Lyrics

Dogo Charlie Wana Parody Lyrics – Download Audio

Verse One

Leo nimekukamata
Pesa zangu utanipa
Mbona hutaki kulipa Deni

Simu hutaki kushika
Eti uniache na Visa
Leo mwenzangu utalipa Deni

Wiki jana we ulisema utanilipa
Ukiniona unapiga kona
Nabaki napumbazika

Nikija kwako hapo hapo nakasirika
Ukora wako na ujanja wako
Ukiniona unanitoroka Ehh!!

Chorus

Bana bana wewe bana
Mbona sa tunagombana
Mi na we tutakosana
Pesa zangu ndo nataka

Bana bana wewe bana
Mbona sa tunagombana
Mi na we tutakosana
Pesa zangu ndo nataka, Aha!!

Verse Two

Mimi nilidhani hizo pesa rafiki utalipa
Maradhi, ulitibiwa na dawa ukapewa ukapona
Saahii, umenipa hasara ajira sina tena
Sina kazi, umeangusha biashara nianze wapi tena

We nilipe, mi nisepe, usinisumbue sinyamazi
We umenona na mi nakonda
Simu nipe nifulize

We mwanaume tuheshimiane
Pesa zangu unilipe
Mi nataka unilipe
Zangu nipe niondoke

Chorus

Bana bana wewe bana
Mbona sa tunagombana
Mi na we tutakosana
Pesa zangu ndo nataka

Bana bana wewe bana
Mbona sa tunagombana
Mi na we tutakosana
Pesa zangu ndo nataka, Aha!!

Verse Three

Ukitaka nikuache nilipe wewe
Ukipenda ufulize unilipe pesa
Pesa zangu lazima unirudishie
Leta pesa niringe nifurahie

Ukitaka nikuache nilipe wewe
Ukipenda ufulize unilipe pesa
Ata Wizly atuone afurahie
Leta pesa mi niringe nijivunie

Dogo Charlie Wana Parody Lyrics

ALSO, SING TO – I Miss You Lyrics – Eric Omondi

Related Posts