Contents
We have written the best wanakutamani lyrics below. You will without doubt fall in love with our wanakutamani lyrics. Enjoy and remember to come back for more sweet lyrics. We provide the best lyrics.
VERSE ONE
Naomba utunze heshima, ulilinde na jina
Nimekukabidhi mtima, aliyenipa karima
Yote nimekubali mimi
Mi niko tayari niamini
Nikiwa chizi ni wewe
Aaah eeeh
Wendo sababu
Staki moyo wangu uchezewe
Aaah eeeeh
Ntapata tabu
Nachotaka kuzaa na wewe
Aaaah eeeeehhh
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe
Aaaaahh eeeeehhh
Bibi na Babu
CHORUS
Wanakutamani hao
Wanakutamani hao
Wanakutamani hao
Mwenzako nia ninayo
Wanakutamani hao (mi nawajua baby)
Wanakutamani hao (watakuchezea mama)
Wanakutamani hao (wakishakuvua baby)
Mwenzako nia ninayo (watakuacha solemba)
VERSE TWO
Mi nawe waarabu kwa wapemba
Tunajuana baby kwa vilemba
Miaka rudi tena miaka nenda
Hawaning’oi hata kwa defender
Yako thamani, mwengine sijawahi kuona mama
Usiniweke mashakani, wakakudanganya kwa punje za mtama
Nikiwa chizi ni wewe
Aaaahh eeeeehhh
Wendo sababu
Staki moyo wangu uchezewe
Aaaaah eeeeehhh
Ntapata Tabu
Nachotaka kuzaa na wewe
Aaaaahh eeeehhh
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe
Aaaahhh eeeeeh
Bibi na Babu
CHORUS
Wanakutamani Hao (oooooooohhhhh)
Wanakutamani hao (wanakutamani mama)
Wanakutamani hao (wanakutamani…..)
Wanakutamani hao (Achana naooo)
Wanakutamani hao (wanakutamani….)
Wanakutamani hao (Baby baby…..)
Wanakutamani hao (wanakutamani…)
Mwenzako nia ninayo
ENDING
Moyo wangu mi nakupa baby
Usasambue, usasambue
Mi nakupa
Usasambue, usasambue
Fanya unavyotaka
Usasambue, usasambue
Ubakishe mifupa
Usasambue, usasambue
Uniburuze kama guta
Usasambue, usasambue….
Usasambue… usasambue….
ARTIST: RICH MAVOKO
SEE ALSO: Shilingi lyrics mbosso ft reekado banks