Wanani Lyrics Bahati Toto Si Toto.
Umeshukia toka binguni
Wee ni malaika
Au Nakosea
Sifa zote tumpee manani
Aliyekuumba hajakosea
Toto si toto, uuh lala
Nimeshinda lotto, uuh lala
Figure moto, uuh lala
Toto si toto, uuh lala
Nimeshinda lotto, uuh lala
Kukupata mtoto, uuh lala
Basi wewe wanani
Niambie wanani, wanani
Kama sio wangu tuu
Basi wewe wanani
Niambie wanani, wanani
Kama sio wangu tuu
I heard i like you
But i love you
Yes it’s true yes its true
And if they ask me to choose
Between me and you
Baby i’ll choose you
Cause i’m you uhh uhh
Twende nyumbani tukamwone auntie
Na wenye wivu tuwaite harusini
Kama uhai angepewa mummie
Angefurahi kukuona haki
Nauliza aah wanani
Niambie wanani, wanani
Kama sio wangu tuu
Basi wewe wanani
Niambie wanani, wanani
Kama sio wangu tuu
Toto si toto, uuh lala
Nimeshinda lotto, uuh lala
Figure moto, uuh lala
Toto si toto, uuh lala
Nimeshinda lotto, uuh lala
Kukupata mtoto, uuh lala
Aah farararira nikudekeze
Kanisa nikupeleke
Church man mtoto wa mama gentleman
Mmm i’m in love
Who is whom i love
Wema Lyrics Willy Paul Ft Gloria Muliro
Wanani Lyrics Bahati Toto Si Toto – Download mp3 audio