Home GENERAL Watakuheshimu Lyrics – Aniset Butati Ft Bony Mwaitege – Official

Watakuheshimu Lyrics – Aniset Butati Ft Bony Mwaitege – Official

by Louis
Watakuheshimu Lyrics

Watakuheshimu Lyrics – Aniset Butati Ft Bony Mwaitege – Download

Mpe simu yangu Butati
Pengine kuna kitu ataongea
Natafuta faraja ya moyo wangu
Maumivu makali yananitesa

Muhereze simu yanje butati
Hamwe haricho yo gamba

Natafuta faraja ya moyo wangu
Dharau zimezidi naumia
Sababu ya umaskini nadharauliwa
Mchumba wangu kapewa rafiki yangu

Aliyesema umasikini haufai
Namuunga mkono yamenitokea
Nateseka moyo wangu kwa dharau
Ndio maana napiga simu Kigoma

Muhereze simu yanje butati
Hamwe haricho yo gamba
Natafuta faraja kwa mtumishi wa Mungu
Butati kuna nini utaongea juu yangu

Kuna kipindi unapita
Hata watu wakikutazama
Wanakuona
Kutoinuka tena

Kuna kipindi unapita
Hata ndugu wakikutazama
Wanakudharau
Wanajua ni mwisho wako

Wameinuka wamesema
Ati mkufuru Mungu ufe
Mungu gani?
Mbona hakusaidiii

Wameinuka wanasema
Ati mkufuru Mungu ufe
Mungu gani?
Mbona hakusaidiii

Leo waambie, waambie
Nina Mungu ataniinua
Mtaniheshimu

Leo waeleze, waeleze
Nina Mungu ataniinua
Mtaniheshimu

Wewe usimuache Mungu
Wewe mtazame Mungu
Wewe usimuache Mungu
Wewe mtazame Mungu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliokuona huna thamani
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema hutoinuka
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema ni mwisho wako
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema hutofanikiwa
Watakuheshimu tu

Acha leo wakuone wanavyokuonaga
Wakati wa Mungu utaongea
Acha leo wakuite majina mabaya mabaya
Wakati wa Mungu utaongea

Wanaokuita mlala hoi, watazame nyamaza
Hao ndio watakuita bosi kesho
Wanaokuita fukara, watazame nyamaza
Hao ndio watakupigia magoti kesho

Hata Yusufu alikuwa house boy
Wakati wa Mungu alikuwa waziri mkuu

Wewe usimuache Mungu
Wewe mtazame Mungu
Wewe usimuache Mungu
Wewe mtazame Mungu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliokuona huna thamani
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema hutoinuka
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema ni mwisho wako
Watakuheshimu tu

Wakati wako ukifika wewe
Wa kuinuliwa na Mungu
Waliosema hutofanikiwa
Watakuheshimu tu

Watakuheshimu Lyrics Credit – Aniset Butati and Bony Mwaitege

ALSO, SING TO – Miss Buza Lyrics – Rayvanny Ft Dulla Makabila – Official Lyrics

Related Posts