Home GENERAL Watoto Na Pombe Lyrics Otile Brown Ft Mejja

Watoto Na Pombe Lyrics Otile Brown Ft Mejja

by Louis
Published: Last Updated on
Watoto Na Pombe Lyrics

Watoto Na Pombe Lyrics Otile Brown and Mejja

Ooh  Bizee
Napiga Hela kama benki
Wanaiga swagga ila haiketi
Looku sipigi feki hutokuta navaa feki

Leo Gucci au Prada
Mmm pengine glasi za mkanda
Nakataa madeni mkali zaidi ya Donna Tanasha
Simba wenu manyasi menu hainaga nyama
Sishoboki hata ngoma zikibuma

Still haswa sipendi mazoea
Hata ukinicheka nawachuna

Ooh baby wats your name
Uje ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi
Na kama tinga linazima ita Taxi

And it’s all on me
Bado nasoma namba
Penda watoto wenye darasa
Guza selfie nitakucatch

Watoto na pombe, Toto na pombe
Watoto na pombe,
Nilichofuata ni
Watoto na pombe, Toto na pombe
Pombe, watoto na pombe

Pombe…aaaaaah totozzzz
Pombe…aaaaaah totozzzz

Wananiita Sultan huku ghetto
Njoo nikuonyeshe maisha ya Majengo
Tupitie Mpambe tule wali
Twende Pangani tuchane majani

Aah naona umevaa mini
Na unashinda ukiivuta vuta chini
Ni hio haga inainua sio siri
Samahani ni macho sio mimi

Tumefika humu ndani ya giza
Usijali bei nitalipa
Kidogo msupa akaitisha
Nikasikia ameitisha King Fisher

Eey if you know you know (You know)
King Fisher panty remo- aiii
Manze ni leo, leo ndio leo
Manyundo leo watoto na vileo

Ooh baby wats your name
Uje ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi
Na kama tinga linazima ita Taxi

And it’s all on me
Bado nasoma namba
Penda watoto wenye darasa
Guza selfie nitakucatch

Watoto na pombe, Toto na pombe
Watoto na pombe,
Nilichofuata ni
Watoto na pombe, Toto na pombe
Pombe, watoto na pombe

Pombe…aaaaaah totozzzz
Pombe…aaaaaah totozzzz

Na iwake, Whiskey River na Kisa
B Club, Golden Ice
Na iwake, ooh ni starter pass
Plug na seven D

Na iwake, Whiskey River na Kisa
B Club, Golden Ice
Na iwake, ooh ni starter pass
Plug na seven D
Na Iwake

(Vicky pon dis)

Na Milan pia
Njuguna’s na ka local pub
Kwa mama Esther I see you
Moraa..

Kuja Mbaya Lyrics – Mbogi Genje Ft Exray

Watoto Na Pombe Lyrics Otile Brown and Mejja – Download Mp3 Audio

Related Posts