Contents
Weka Lyrics – Ssaru
Mi ndio waiter unataka kitu gani
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta
Weka Lyrics Verse One
Niko na flat tummy we sema niko njaa
Na ninabonga kilami na nimetoka Dar
Mi ni antisocial nasema yani staki salam
Na kama uko na beef nakuja na royco madam
Washa kindukulu tuchome tumedi kiplani
Mi ni kuku we ni jogoo wa mashinani
Na mi chuchumaa ni kama nataga mayai
Washa mshumaa giza imezidi uku ndani
Mi ni msupuu siogopi dudu
Siezi peana respect kwa manugu Siezi try
Kukuimpress we sio mungu
Siezi try kukuundress ka we sio wangu
Nimekam kuaddress ndugu zangu
Mnaniskiza ju mnapenda style zangu
Niko Unique Si mnafanya maajabu
Niaje mafans si mnapenda ngoma zangu
Niaje mafans
Si mnapenda ngoma zangu
Niaje mafans
Si mnapenda ngoma zangu
Chorus
Mi ndio waiter unataka kitu gani
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta
Weka Lyrics Verse Two
Ssaru wa manyaru amekuja kama hitler
Nimeleta war cheki venye nawatisha
Nimekam na kindom kiko kwenye tshirt
Na nabonga ni kama mi niko na speaker
Mi ni drinker, nawakunywa since day one kitanker
Nitawafanyia tu venye mi nataka
Ju najua nyinyi wote ni mastalker
Nawaditch tu kama taka taka
Mkinihata, mtanifuata
Mnipanue kama miguu za bata
Mnitoboe manze mniwache na punture
Na mnajua huku akuna kiraka
Kuna kishada, nimekiwasha
Kimenishika mpaka shadow inanihepa
Kimbichwa kinafanya mi nacheka cheka
Chorus
Mi ndio waiter unataka kitu gani
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta , aaah
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta, aah
Mi ndio waiter unataka kitu gani
Weka order naleta tu mezani
Utakula hapa ama utakula nyumbani
Utadishi solo ama utaita jirani
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta , aaah
Weka weka weka weka order mi naleta
Leta leta, aah
Pika pakua peleka mezani, Pika
Pakua peleka mezani
Pika pakua peleka mezani
Pika pakua peleka mezani
ALSO, SING TO: Controller Lyrics – Willy Paul – New Song 2020
Credit: Ssaru