Contents
Yote Lyrics – Kelechi Africana – Download Yote by Kelechi Africana mp3 audio
Verse One
Girl you know
Ninavyokupenda sina pindo
Moyoni mwangu umezagaaa
Chingo kwako navunja nyuma pindo
Hapa siondoki nakaaa
Allah Khul halli habinti
Cha mtende nipe mimi
Navyokumiliki kama biti
Na nyimbo nzuri naimba mimi
Nishapendwa
Ninapendwa
Walio single hamnipati tena
Nishapendwa
Ninapendwa
Kama ka video weka play tena
Chorus
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Verse Two
Nimelitaka waridi acha linidhuru
Acha linidhuru
Msimu wa baridi chumbani tuzuru
Chumbani tuzuru
Moyo wangu
Kama kama kama unaenda mbio
Niekee mona mi nadata nadata
Yaani kama mti nakapanda kupanda
Na tusiachane naye eeh
Allah Khul halli habinti
Cha mtende nipe mimi
Navyokumiliki kama biti
Na nyimbo nzuri naimba mimi
Nishapendwa
Ninapendwa
Walio single hamnipati tena
Nishapendwa
Ninapendwa
Kama ka video weka play tena
Chorus
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Ananipa,
Yote Yote, Yote eeh
Yote Lyrics Credit – Kelechi Africana
ALSO, SING TO – Panda Lyrics – Redsan Ft Ommy Dimpoz – Official Lyrics